Native Bible

Genesis 3:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana Mungu akawatengenezea Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.

Genesis 3:21 in English

Genesis 3:21 · Berean Standard Bible

And the LORD God made garments of skin for Adam and his wife, and He clothed them.

Context

19Kwa jasho la uso wako utakula chakula chako hadi utakaporudi ardhini, kwa kuwa ulitwaliwa kutoka humo, kwa kuwa wewe u mavumbi na mavumbini wewe utarudi.” 20Adamu akamwita mkewe Eva, kwa kuwa atakuwa mama wa wote walio hai. 21Bwana Mungu akawatengenezea Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika. 22Kisha Bwana Mungu akasema, “Sasa mtu huyu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya. Sharti asiruhusiwe kunyoosha mkono wake na kuchuma pia kutoka mti wa uzima akala, naye akaishi milele.” 23Hivyo Bwana Mungu akamfukuzia mbali kutoka Bustani ya Edeni, akalime ardhi ambamo alitolewa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.