Mwanzo 3:19
Genesis 3:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa jasho la uso wako utakula chakula chako hadi utakaporudi ardhini, kwa kuwa ulitwaliwa kutoka humo, kwa kuwa wewe u mavumbi na mavumbini wewe utarudi.”
Genesis 3:19 in English
Genesis 3:19 · Berean Standard Bible
By the sweat of your brow you will eat your bread, until you return to the ground— because out of it were you taken. For dust you are, and to dust you shall return.”
Context
17Kwa Adamu akasema, “Kwa sababu umemsikiliza mke wako na ukala kutoka kwenye mti niliokuamuru, ‘Msile tunda lake,’
“Ardhi imelaaniwa kwa sababu yako,
kwa kazi ngumu utakula chakula kitokacho humo
siku zote za maisha yako. 18Itazaa miiba na mibaruti kwa ajili yako,
nawe utakula mimea ya shambani. 19Kwa jasho la uso wako
utakula chakula chako
hadi utakaporudi ardhini,
kwa kuwa ulitwaliwa kutoka humo,
kwa kuwa wewe u mavumbi
na mavumbini wewe utarudi.” 20Adamu akamwita mkewe Eva, kwa kuwa atakuwa mama wa wote walio hai. 21Bwana Mungu akawatengenezea Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.