Native Bible

Genesis 29:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Labani akamwambia, “Wewe ni nyama yangu na damu yangu mwenyewe.”

Genesis 29:14 in English

Genesis 29:14 · Berean Standard Bible

Then Laban declared, “You are indeed my own flesh and blood.” After Jacob had stayed with him a month,

Context

12Yakobo alikuwa amemwambia Raheli kuwa yeye alikuwa jamaa ya baba yake, na kwamba ni mwana wa Rebeka. Basi Raheli alikimbia na kumweleza baba yake. 13Mara Labani aliposikia habari kuhusu Yakobo, mwana wa ndugu yake, aliharakisha kwenda kumlaki. Akamkumbatia na kumbusu, halafu akamleta nyumbani kwake, kisha Yakobo akamwambia mambo yote. 14Ndipo Labani akamwambia, “Wewe ni nyama yangu na damu yangu mwenyewe.” 15(14) Baada ya Yakobo kukaa kwa Labani mwezi mzima, (15) Labani akamwambia, “Kwa vile wewe ni jamaa yangu, ndiyo sababu unifanyie kazi bila ujira? Niambie ujira wako utakuwa nini.” 16Labani alikuwa na binti wawili, binti mkubwa aliitwa Lea na binti mdogo aliitwa Raheli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.