Native Bible

Genesis 29:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

(14) Baada ya Yakobo kukaa kwa Labani mwezi mzima, (15) Labani akamwambia, “Kwa vile wewe ni jamaa yangu, ndiyo sababu unifanyie kazi bila ujira? Niambie ujira wako utakuwa nini.”

Genesis 29:15 in English

Genesis 29:15 · Berean Standard Bible

Laban said to him, “Just because you are my relative, should you work for nothing? Tell me what your wages should be.”

Context

13Mara Labani aliposikia habari kuhusu Yakobo, mwana wa ndugu yake, aliharakisha kwenda kumlaki. Akamkumbatia na kumbusu, halafu akamleta nyumbani kwake, kisha Yakobo akamwambia mambo yote. 14Ndipo Labani akamwambia, “Wewe ni nyama yangu na damu yangu mwenyewe.” 15(14) Baada ya Yakobo kukaa kwa Labani mwezi mzima, (15) Labani akamwambia, “Kwa vile wewe ni jamaa yangu, ndiyo sababu unifanyie kazi bila ujira? Niambie ujira wako utakuwa nini.” 16Labani alikuwa na binti wawili, binti mkubwa aliitwa Lea na binti mdogo aliitwa Raheli. 17Lea alikuwa na macho dhaifu, lakini Raheli alikuwa na umbo la kupendeza na mzuri wa sura.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.