Mwanzo 26:33
Genesis 26:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Naye akakiita Shiba,* mpaka leo mji huo unaitwa Beer-Sheba.*
Genesis 26:33 in English
Genesis 26:33 · Berean Standard Bible
So he called it Shibah,* and to this day the name of the city is Beersheba.*
Context
31Kesho yake asubuhi na mapema, wakaapizana wao kwa wao. Kisha Isaki akawaruhusu waende zao, wakamwacha Isaki kwa amani. 32Siku hiyo watumishi wa Isaki wakaja wakampa habari kuhusu kisima walichokuwa wamekichimba, wakamwambia, “Tumepata maji!” 33Naye akakiita Shiba,* mpaka leo mji huo unaitwa Beer-Sheba.* 34Esau alipokuwa na umri wa miaka arobaini, akamwoa Yudithi binti Beeri Mhiti, kisha akamwoa Basemathi binti Eloni Mhiti. 35Hawa walikuwa chanzo cha huzuni ya Isaki na Rebeka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.