Native Bible

Genesis 26:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Siku hiyo watumishi wa Isaki wakaja wakampa habari kuhusu kisima walichokuwa wamekichimba, wakamwambia, “Tumepata maji!”

Genesis 26:32 in English

Genesis 26:32 · Berean Standard Bible

On that same day, Isaac’s servants came and told him about the well they had dug. “We have found water!” they told him.

Context

30Basi Isaki akawaandalia karamu, nao wakala na kunywa. 31Kesho yake asubuhi na mapema, wakaapizana wao kwa wao. Kisha Isaki akawaruhusu waende zao, wakamwacha Isaki kwa amani. 32Siku hiyo watumishi wa Isaki wakaja wakampa habari kuhusu kisima walichokuwa wamekichimba, wakamwambia, “Tumepata maji!” 33Naye akakiita Shiba,* mpaka leo mji huo unaitwa Beer-Sheba.* 34Esau alipokuwa na umri wa miaka arobaini, akamwoa Yudithi binti Beeri Mhiti, kisha akamwoa Basemathi binti Eloni Mhiti.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.