Native Bible

Genesis 26:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Esau alipokuwa na umri wa miaka arobaini, akamwoa Yudithi binti Beeri Mhiti, kisha akamwoa Basemathi binti Eloni Mhiti.

Genesis 26:34 in English

Genesis 26:34 · Berean Standard Bible

When Esau was forty years old, he took as his wives Judith daughter of Beeri the Hittite and Basemath daughter of Elon the Hittite.

Context

32Siku hiyo watumishi wa Isaki wakaja wakampa habari kuhusu kisima walichokuwa wamekichimba, wakamwambia, “Tumepata maji!” 33Naye akakiita Shiba,* mpaka leo mji huo unaitwa Beer-Sheba.* 34Esau alipokuwa na umri wa miaka arobaini, akamwoa Yudithi binti Beeri Mhiti, kisha akamwoa Basemathi binti Eloni Mhiti. 35Hawa walikuwa chanzo cha huzuni ya Isaki na Rebeka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.