Mwanzo 24:6
Genesis 24:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Abrahamu akasema, “Hakikisha kwamba hutamrudisha mwanangu huko.
Genesis 24:6 in English
Genesis 24:6 · Berean Standard Bible
Abraham replied, “Make sure that you do not take my son back there.
Context
4bali utakwenda katika nchi yangu na jamaa zangu umpatie Isaki mwanangu mke.” 5Yule mtumishi akamuuliza, “Je, kama huyo mwanamke atakataa kuja nami katika nchi hii? Je, nimpeleke mwanao katika hiyo nchi uliyotoka?” 6Abrahamu akasema, “Hakikisha kwamba hutamrudisha mwanangu huko. 7Bwana, Mungu wa mbingu, aliyenitoa nyumbani kwa baba yangu na nchi yangu niliyozaliwa na aliyesema nami na akaniahidi kwa kiapo, akisema, ‘Nitawapa watoto wako nchi hii,’ atatuma malaika wake akutangulie ili umpatie mwanangu mke kutoka huko. 8Kama huyo mwanamke asipokubali kufuatana nawe, basi utafunguliwa kutoka kiapo nilichokuapisha. Ila usimrudishe mwanangu huko.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.