Mwanzo 24:4
Genesis 24:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
bali utakwenda katika nchi yangu na jamaa zangu umpatie Isaki mwanangu mke.”
Genesis 24:4 in English
Genesis 24:4 · Berean Standard Bible
but will go to my country and my kindred to take a wife for my son Isaac.”
Context
2Akamwambia mtumishi wake mkuu wa vitu vyote katika nyumba yake, yule aliyekuwa msimamizi wa vitu vyote alivyokuwa navyo, “Weka mkono wako chini ya paja langu, 3Ninataka uape kwa Bwana, Mungu wa mbingu na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke kutoka binti za Wakanaani, ambao ninaishi miongoni mwao, 4bali utakwenda katika nchi yangu na jamaa zangu umpatie Isaki mwanangu mke.” 5Yule mtumishi akamuuliza, “Je, kama huyo mwanamke atakataa kuja nami katika nchi hii? Je, nimpeleke mwanao katika hiyo nchi uliyotoka?” 6Abrahamu akasema, “Hakikisha kwamba hutamrudisha mwanangu huko.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.