Native Bible

Genesis 24:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yule mtumishi akamuuliza, “Je, kama huyo mwanamke atakataa kuja nami katika nchi hii? Je, nimpeleke mwanao katika hiyo nchi uliyotoka?”

Genesis 24:5 in English

Genesis 24:5 · Berean Standard Bible

The servant asked him, “What if the woman is unwilling to follow me to this land? Shall I then take your son back to the land from which you came?”

Context

3Ninataka uape kwa Bwana, Mungu wa mbingu na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke kutoka binti za Wakanaani, ambao ninaishi miongoni mwao, 4bali utakwenda katika nchi yangu na jamaa zangu umpatie Isaki mwanangu mke.” 5Yule mtumishi akamuuliza, “Je, kama huyo mwanamke atakataa kuja nami katika nchi hii? Je, nimpeleke mwanao katika hiyo nchi uliyotoka?” 6Abrahamu akasema, “Hakikisha kwamba hutamrudisha mwanangu huko. 7Bwana, Mungu wa mbingu, aliyenitoa nyumbani kwa baba yangu na nchi yangu niliyozaliwa na aliyesema nami na akaniahidi kwa kiapo, akisema, ‘Nitawapa watoto wako nchi hii,’ atatuma malaika wake akutangulie ili umpatie mwanangu mke kutoka huko.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.