Mwanzo 22:14
Genesis 22:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Abrahamu akapaita mahali pale Yehova-Yire.* Mpaka siku ya leo inasemekana, “Katika mlima wa Bwana itapatikana.”
Genesis 22:14 in English
Genesis 22:14 · Berean Standard Bible
And Abraham called that place The LORD Will Provide.* So to this day it is said, “On the mountain of the LORD it will be provided.”
Context
12Akamwambia, “Usimdhuru kijana, wala usimtendee jambo lolote. Sasa ninajua kwamba unamcha Mungu, kwa sababu hukunizuilia mwanao, mwana wako wa pekee.” 13Abrahamu akainua macho yake, akaona kondoo dume amenaswa pembe zake nyuma yake katika kichaka. Akaenda akamchukua huyo kondoo dume, akamtoa awe sadaka ya kuteketezwa badala ya mwanawe. 14Abrahamu akapaita mahali pale Yehova-Yire.* Mpaka siku ya leo inasemekana, “Katika mlima wa Bwana itapatikana.” 15Basi malaika wa Bwana akamwita Abrahamu kutoka mbinguni mara ya pili, 16akasema, “Ninaapa kwa nafsi yangu, asema Bwana, kwamba kwa sababu umefanya jambo hili na hukunizuilia mwanao, mwana wako wa pekee,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.