Native Bible

Genesis 22:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

akasema, “Ninaapa kwa nafsi yangu, asema Bwana, kwamba kwa sababu umefanya jambo hili na hukunizuilia mwanao, mwana wako wa pekee,

Genesis 22:16 in English

Genesis 22:16 · Berean Standard Bible

saying, “By Myself I have sworn, declares the LORD, that because you have done this and have not withheld your only son,

Context

14Abrahamu akapaita mahali pale Yehova-Yire.* Mpaka siku ya leo inasemekana, “Katika mlima wa Bwana itapatikana.” 15Basi malaika wa Bwana akamwita Abrahamu kutoka mbinguni mara ya pili, 16akasema, “Ninaapa kwa nafsi yangu, asema Bwana, kwamba kwa sababu umefanya jambo hili na hukunizuilia mwanao, mwana wako wa pekee, 17hakika nitakubariki, na nitauzidisha uzao wako kama nyota za angani na kama mchanga ulioko pwani. Wazao wako watamiliki miji ya adui zao, 18na kupitia uzao wako mataifa yote duniani yatabarikiwa, kwa sababu umenitii.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.