Mwanzo 21:22
Genesis 21:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati huo Abimeleki na Fikoli mkuu wa majeshi yake wakamwambia Abrahamu, “Mungu yu pamoja nawe katika kila kitu unachofanya.
Genesis 21:22 in English
Genesis 21:22 · Berean Standard Bible
At that time Abimelech and Phicol the commander of his army said to Abraham, “God is with you in all that you do.
Context
20Mungu akawa pamoja na huyu kijana alipokuwa akiendelea kukua. Aliishi jangwani na akawa mpiga upinde. 21Alipokuwa akiishi katika Jangwa la Parani, mama yake akampatia mke kutoka Misri. 22Wakati huo Abimeleki na Fikoli mkuu wa majeshi yake wakamwambia Abrahamu, “Mungu yu pamoja nawe katika kila kitu unachofanya. 23Sasa niapie hapa mbele za Mungu kwamba hutanitenda hila mimi, watoto wangu wala wazao wangu. Nitendee mimi na nchi ambayo unaishi kama mgeni wema ule ule ambao nimekutendea.” 24Abrahamu akasema, “Ninaapa hivyo.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.