Native Bible

Genesis 21:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu akawa pamoja na huyu kijana alipokuwa akiendelea kukua. Aliishi jangwani na akawa mpiga upinde.

Genesis 21:20 in English

Genesis 21:20 · Berean Standard Bible

And God was with the boy, and he grew up and settled in the wilderness and became a great archer.

Context

18Mwinue kijana na umshike mkono, kwa maana nitamfanya kuwa taifa kubwa.” 19Ndipo Mungu akamfumbua Hagari macho yake naye akaona kisima cha maji. Hivyo akaenda akajaza kiriba maji na kumpa kijana anywe. 20Mungu akawa pamoja na huyu kijana alipokuwa akiendelea kukua. Aliishi jangwani na akawa mpiga upinde. 21Alipokuwa akiishi katika Jangwa la Parani, mama yake akampatia mke kutoka Misri. 22Wakati huo Abimeleki na Fikoli mkuu wa majeshi yake wakamwambia Abrahamu, “Mungu yu pamoja nawe katika kila kitu unachofanya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.