Mwanzo 2:6
Genesis 2:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
lakini umande ulitokeza kutoka ardhini na kunyesha uso wote wa nchi:
Genesis 2:6 in English
Genesis 2:6 · Berean Standard Bible
But springs * welled up from the earth and watered the whole surface of the ground.
Context
4Haya ndiyo maelezo ya mbingu na dunia wakati zilipoumbwa.
Bwana Mungu alipoziumba mbingu na dunia, 5hapakuwepo na mche wa shambani uliokuwa umejitokeza ardhini, wala hapakuwepo na mmea wa shamba uliokuwa umeota, kwa kuwa Bwana Mungu alikuwa hajanyeshea mvua juu ya nchi, na hapakuwepo mtu wa kuilima ardhi, 6lakini umande ulitokeza kutoka ardhini na kunyesha uso wote wa nchi: 7Bwana Mungu alimuumba mtu kutoka mavumbi* ya ardhi, akampulizia pumzi ya uhai puani mwake, naye mtu akawa kiumbe hai. 8Basi Bwana Mungu alikuwa ameotesha bustani upande wa mashariki, katika Edeni, huko akamweka huyo mtu aliyemuumba.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.