Native Bible

Genesis 2:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jina la mto wa pili ni Gihoni, ambao huzunguka nchi yote ya Kushi.

Genesis 2:13 in English

Genesis 2:13 · Berean Standard Bible

The name of the second river is Gihon; it winds through the whole land of Cush.

Context

11Mto wa kwanza uliitwa Pishoni, nao huzunguka nchi yote ya Havila ambako kuna dhahabu. 12(Dhahabu ya nchi hiyo ni nzuri, bedola na vito shohamu pia hupatikana huko.) 13Jina la mto wa pili ni Gihoni, ambao huzunguka nchi yote ya Kushi. 14Jina la mto wa tatu ni Tigrisi, unaopita mashariki ya Ashuru. Mto wa nne ni Frati. 15Bwana Mungu akamchukua huyo mtu, akamweka kwenye Bustani ya Edeni ailime na kuitunza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.