Native Bible

Genesis 2:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

(Dhahabu ya nchi hiyo ni nzuri, bedola na vito shohamu pia hupatikana huko.)

Genesis 2:12 in English

Genesis 2:12 · Berean Standard Bible

And the gold of that land is pure, and bdellium and onyx are found there.

Context

10Mto wa kunyeshea bustani ulitiririka toka Edeni, kuanzia hapa ukagawanyika kuwa mito minne. 11Mto wa kwanza uliitwa Pishoni, nao huzunguka nchi yote ya Havila ambako kuna dhahabu. 12(Dhahabu ya nchi hiyo ni nzuri, bedola na vito shohamu pia hupatikana huko.) 13Jina la mto wa pili ni Gihoni, ambao huzunguka nchi yote ya Kushi. 14Jina la mto wa tatu ni Tigrisi, unaopita mashariki ya Ashuru. Mto wa nne ni Frati.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.