Native Bible

Genesis 2:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana Mungu akamchukua huyo mtu, akamweka kwenye Bustani ya Edeni ailime na kuitunza.

Genesis 2:15 in English

Genesis 2:15 · Berean Standard Bible

Then the LORD God took the man and placed him in the Garden of Eden to cultivate and keep it.

Context

13Jina la mto wa pili ni Gihoni, ambao huzunguka nchi yote ya Kushi. 14Jina la mto wa tatu ni Tigrisi, unaopita mashariki ya Ashuru. Mto wa nne ni Frati. 15Bwana Mungu akamchukua huyo mtu, akamweka kwenye Bustani ya Edeni ailime na kuitunza. 16Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akamwambia, “Uko huru kula matunda ya mti wowote katika bustani, 17lakini kamwe usile matunda ya mti wa kujua mema na mabaya, kwa maana siku utakapokula matunda yake, hakika utakufa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.