Mwanzo 16:14
Genesis 16:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndiyo sababu kisima kile kikaitwa Beer-Lahai-Roi,* ambacho bado kipo huko hata leo kati ya Kadeshi na Beredi.
Genesis 16:14 in English
Genesis 16:14 · Berean Standard Bible
Therefore the well was called Beer-lahai-roi.* It is located between Kadesh and Bered.
Context
12Atakuwa punda-mwitu katikati ya wanadamu,
mkono wake utakuwa dhidi ya kila mtu
na mkono wa kila mtu dhidi yake,
naye ataishi kwa uhasama
na ndugu zake wote.” 13Hagari akampa Bwana aliyezungumza naye jina hili: “Wewe ndiwe Mungu unionaye mimi,” kwa maana alisema, “Sasa nimemwona yeye anayeniona mimi.” 14Ndiyo sababu kisima kile kikaitwa Beer-Lahai-Roi,* ambacho bado kipo huko hata leo kati ya Kadeshi na Beredi. 15Hivyo Hagari akamzalia Abramu mwana, naye Abramu akamwita huyo mwana Hagari aliyemzalia, Ishmaeli. 16Abramu alikuwa na umri wa miaka themanini na sita wakati Hagari alipomzalia Ishmaeli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.