Native Bible

Genesis 16:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hivyo Hagari akamzalia Abramu mwana, naye Abramu akamwita huyo mwana Hagari aliyemzalia, Ishmaeli.

Genesis 16:15 in English

Genesis 16:15 · Berean Standard Bible

And Hagar bore Abram a son, and Abram gave the name Ishmael to the son she had borne.

Context

13Hagari akampa Bwana aliyezungumza naye jina hili: “Wewe ndiwe Mungu unionaye mimi,” kwa maana alisema, “Sasa nimemwona yeye anayeniona mimi.” 14Ndiyo sababu kisima kile kikaitwa Beer-Lahai-Roi,* ambacho bado kipo huko hata leo kati ya Kadeshi na Beredi. 15Hivyo Hagari akamzalia Abramu mwana, naye Abramu akamwita huyo mwana Hagari aliyemzalia, Ishmaeli. 16Abramu alikuwa na umri wa miaka themanini na sita wakati Hagari alipomzalia Ishmaeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.