Mwanzo 11:1
Genesis 11:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati huo dunia yote ilikuwa na lugha moja na msemo mmoja.
Genesis 11:1 in English
Genesis 11:1 · Berean Standard Bible
Now the whole world had one language and a common form of speech.
Context
1Wakati huo dunia yote ilikuwa na lugha moja na msemo mmoja. 2Watu walipoelekea upande wa mashariki, wakafika kwenye tambarare katika nchi ya Shinari* nao wakaishi huko. 3Wakasemezana wao kwa wao, “Njooni, tufyatue matofali na tuyachome vizuri kwa moto.” Walitumia matofali badala ya mawe, na lami kwa ajili ya kushikamanishia hayo matofali.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.