Mwanzo 10:23
Genesis 10:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Aramu walikuwa: Usi, Huli, Getheri na Mesheki.
Genesis 10:23 in English
Genesis 10:23 · Berean Standard Bible
The sons of Aram: Uz, Hul, Gether, and Mash.*
Context
21Shemu ambaye ni ndugu mkubwa wa Yafethi, kwake kulizaliwa wana pia. Shemu alikuwa baba wa wana wote wa Eberi. 22Wana wa Shemu walikuwa:
Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. 23Wana wa Aramu walikuwa:
Usi, Huli, Getheri na Mesheki. 24Arfaksadi alikuwa baba wa Shela,
naye Shela akamzaa Eberi. 25Eberi akapata wana wawili:
Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake ndipo dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.