Mwanzo 10:22
Genesis 10:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Shemu walikuwa: Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu.
Genesis 10:22 in English
Genesis 10:22 · Berean Standard Bible
The sons of Shem: Elam, Asshur, Arphaxad, Lud, and Aram.
Context
20Hawa ni wana wa Hamu kwa koo zao na lugha zao, katika nchi zao na mataifa yao. 21Shemu ambaye ni ndugu mkubwa wa Yafethi, kwake kulizaliwa wana pia. Shemu alikuwa baba wa wana wote wa Eberi. 22Wana wa Shemu walikuwa:
Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. 23Wana wa Aramu walikuwa:
Usi, Huli, Getheri na Mesheki. 24Arfaksadi alikuwa baba wa Shela,
naye Shela akamzaa Eberi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.