Mwanzo 10:20
Genesis 10:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hawa ni wana wa Hamu kwa koo zao na lugha zao, katika nchi zao na mataifa yao.
Genesis 10:20 in English
Genesis 10:20 · Berean Standard Bible
These are the sons of Ham according to their clans, languages, lands, and nations.
Context
18Waarvadi, Wasemari na Wahamathi.
Baadaye koo za Wakanaani zilitawanyika, 19na mipaka ya Kanaani ilienea kutoka Sidoni kuelekea Gerari hadi Gaza, kisha kuelekea Sodoma, Gomora, Adma na Seboimu, hadi kufikia Lasha. 20Hawa ni wana wa Hamu kwa koo zao na lugha zao, katika nchi zao na mataifa yao. 21Shemu ambaye ni ndugu mkubwa wa Yafethi, kwake kulizaliwa wana pia. Shemu alikuwa baba wa wana wote wa Eberi. 22Wana wa Shemu walikuwa:
Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.