Native Bible

Genesis 10:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na mipaka ya Kanaani ilienea kutoka Sidoni kuelekea Gerari hadi Gaza, kisha kuelekea Sodoma, Gomora, Adma na Seboimu, hadi kufikia Lasha.

Genesis 10:19 in English

Genesis 10:19 · Berean Standard Bible

and the borders of Canaan extended from Sidon toward Gerar as far as Gaza, and then toward Sodom, Gomorrah, Admah, and Zeboiim, as far as Lasha.

Context

17Wahivi, Waariki, Wasini, 18Waarvadi, Wasemari na Wahamathi. Baadaye koo za Wakanaani zilitawanyika, 19na mipaka ya Kanaani ilienea kutoka Sidoni kuelekea Gerari hadi Gaza, kisha kuelekea Sodoma, Gomora, Adma na Seboimu, hadi kufikia Lasha. 20Hawa ni wana wa Hamu kwa koo zao na lugha zao, katika nchi zao na mataifa yao. 21Shemu ambaye ni ndugu mkubwa wa Yafethi, kwake kulizaliwa wana pia. Shemu alikuwa baba wa wana wote wa Eberi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.