Native Bible

Genesis 10:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waarvadi, Wasemari na Wahamathi. Baadaye koo za Wakanaani zilitawanyika,

Genesis 10:18 in English

Genesis 10:18 · Berean Standard Bible

the Arvadites, the Zemarites, and the Hamathites. Later the Canaanite clans were scattered,

Context

16Wayebusi, Waamori, Wagirgashi, 17Wahivi, Waariki, Wasini, 18Waarvadi, Wasemari na Wahamathi. Baadaye koo za Wakanaani zilitawanyika, 19na mipaka ya Kanaani ilienea kutoka Sidoni kuelekea Gerari hadi Gaza, kisha kuelekea Sodoma, Gomora, Adma na Seboimu, hadi kufikia Lasha. 20Hawa ni wana wa Hamu kwa koo zao na lugha zao, katika nchi zao na mataifa yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.