Native Bible

Galatians 3:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana wote mliobatizwa ndani ya Kristo, mmemvaa Kristo.

Galatians 3:27 in English

Galatians 3:27 · Berean Standard Bible

For all of you who were baptized into Christ have clothed yourselves with Christ.

Context

25Lakini sasa kwa kuwa ile imani imekuja, hatusimamiwi tena na sheria. 26Kwa maana ninyi nyote mmekuwa watoto wa Mungu katika Kristo Yesu kwa njia ya imani. 27Kwa maana wote mliobatizwa ndani ya Kristo, mmemvaa Kristo. 28Wala hakuna tena Myahudi au Myunani, mtumwa au mtu huru, mwanaume wala mwanamke, maana nyote mmekuwa wamoja ndani ya Kristo Yesu. 29Nanyi mkiwa ni mali ya Kristo, basi ninyi ni wa uzao wa Abrahamu na warithi sawasawa na ile ahadi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.