Native Bible

Galatians 3:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nanyi mkiwa ni mali ya Kristo, basi ninyi ni wa uzao wa Abrahamu na warithi sawasawa na ile ahadi.

Galatians 3:29 in English

Galatians 3:29 · Berean Standard Bible

And if you belong to Christ, then you are Abraham’s seed and heirs according to the promise.

Context

27Kwa maana wote mliobatizwa ndani ya Kristo, mmemvaa Kristo. 28Wala hakuna tena Myahudi au Myunani, mtumwa au mtu huru, mwanaume wala mwanamke, maana nyote mmekuwa wamoja ndani ya Kristo Yesu. 29Nanyi mkiwa ni mali ya Kristo, basi ninyi ni wa uzao wa Abrahamu na warithi sawasawa na ile ahadi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.