Wagalatia 3:25
Galatians 3:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini sasa kwa kuwa ile imani imekuja, hatusimamiwi tena na sheria.
Galatians 3:25 in English
Galatians 3:25 · Berean Standard Bible
Now that faith has come, we are no longer under a guardian.
Context
23Kabla imani hii haijaja tulikuwa tumewekwa chini ya sheria, tumefungwa mpaka ile imani ifunuliwe. 24Hivyo, sheria ilikuwa kiongozi kutufikisha kwa Kristo, ili tupate kuhesabiwa haki kwa imani. 25Lakini sasa kwa kuwa ile imani imekuja, hatusimamiwi tena na sheria. 26Kwa maana ninyi nyote mmekuwa watoto wa Mungu katika Kristo Yesu kwa njia ya imani. 27Kwa maana wote mliobatizwa ndani ya Kristo, mmemvaa Kristo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.