Wagalatia 3:26
Galatians 3:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana ninyi nyote mmekuwa watoto wa Mungu katika Kristo Yesu kwa njia ya imani.
Galatians 3:26 in English
Galatians 3:26 · Berean Standard Bible
You are all sons of God through faith in Christ Jesus.
Context
24Hivyo, sheria ilikuwa kiongozi kutufikisha kwa Kristo, ili tupate kuhesabiwa haki kwa imani. 25Lakini sasa kwa kuwa ile imani imekuja, hatusimamiwi tena na sheria. 26Kwa maana ninyi nyote mmekuwa watoto wa Mungu katika Kristo Yesu kwa njia ya imani. 27Kwa maana wote mliobatizwa ndani ya Kristo, mmemvaa Kristo. 28Wala hakuna tena Myahudi au Myunani, mtumwa au mtu huru, mwanaume wala mwanamke, maana nyote mmekuwa wamoja ndani ya Kristo Yesu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.