Native Bible

Galatians 1:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini mimi binafsi sikujulikana kwa makanisa ya huko Uyahudi yaliyo katika Kristo.

Galatians 1:22 in English

Galatians 1:22 · Berean Standard Bible

I was personally unknown, however, to the churches of Judea that are in Christ.

Context

20Nawahakikishia mbele za Mungu kuwa ninayowaandikia si uongo. 21Baadaye nilikwenda sehemu za Syria* na Kilikia. 22Lakini mimi binafsi sikujulikana kwa makanisa ya huko Uyahudi yaliyo katika Kristo. 23Wao walisikia habari tu kwamba, “Mtu yule ambaye hapo kwanza alikuwa akitutesa sasa anahubiri imani ile ile aliyokuwa akijaribu kuiangamiza.” 24Nao wakamtukuza Mungu kwa sababu yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.