Wagalatia 1:21
Galatians 1:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baadaye nilikwenda sehemu za Syria* na Kilikia.
Galatians 1:21 in English
Galatians 1:21 · Berean Standard Bible
Later I went to the regions of Syria and Cilicia.
Context
19Lakini sikumwona mtume mwingine yeyote isipokuwa Yakobo, ndugu yake Bwana. 20Nawahakikishia mbele za Mungu kuwa ninayowaandikia si uongo. 21Baadaye nilikwenda sehemu za Syria* na Kilikia. 22Lakini mimi binafsi sikujulikana kwa makanisa ya huko Uyahudi yaliyo katika Kristo. 23Wao walisikia habari tu kwamba, “Mtu yule ambaye hapo kwanza alikuwa akitutesa sasa anahubiri imani ile ile aliyokuwa akijaribu kuiangamiza.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.