Native Bible

Galatians 1:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nawahakikishia mbele za Mungu kuwa ninayowaandikia si uongo.

Galatians 1:20 in English

Galatians 1:20 · Berean Standard Bible

I assure you before God that what I am writing to you is no lie.

Context

18Kisha baada ya miaka mitatu nilipanda kwenda Yerusalemu kuonana na Kefa* na nilikaa naye siku kumi na tano. 19Lakini sikumwona mtume mwingine yeyote isipokuwa Yakobo, ndugu yake Bwana. 20Nawahakikishia mbele za Mungu kuwa ninayowaandikia si uongo. 21Baadaye nilikwenda sehemu za Syria* na Kilikia. 22Lakini mimi binafsi sikujulikana kwa makanisa ya huko Uyahudi yaliyo katika Kristo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.