Native Bible

Galatians 1:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha baada ya miaka mitatu nilipanda kwenda Yerusalemu kuonana na Kefa* na nilikaa naye siku kumi na tano.

Galatians 1:18 in English

Galatians 1:18 · Berean Standard Bible

Only after three years did I go up to Jerusalem to confer with Cephas,* and I stayed with him fifteen days.

Context

16alimdhihirisha Mwanawe kwangu, ili nipate kumhubiri miongoni mwa watu wa Mataifa. Mimi sikushauriana na mwanadamu yeyote, 17wala sikupanda kwenda Yerusalemu kuwaona hao waliokuwa mitume kabla yangu, bali nilikwenda mara moja Arabuni na kisha nikarudi Dameski. 18Kisha baada ya miaka mitatu nilipanda kwenda Yerusalemu kuonana na Kefa* na nilikaa naye siku kumi na tano. 19Lakini sikumwona mtume mwingine yeyote isipokuwa Yakobo, ndugu yake Bwana. 20Nawahakikishia mbele za Mungu kuwa ninayowaandikia si uongo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.