Wagalatia 1:19
Galatians 1:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini sikumwona mtume mwingine yeyote isipokuwa Yakobo, ndugu yake Bwana.
Galatians 1:19 in English
Galatians 1:19 · Berean Standard Bible
But I saw none of the other apostles except James, the Lord’s brother.
Context
17wala sikupanda kwenda Yerusalemu kuwaona hao waliokuwa mitume kabla yangu, bali nilikwenda mara moja Arabuni na kisha nikarudi Dameski. 18Kisha baada ya miaka mitatu nilipanda kwenda Yerusalemu kuonana na Kefa* na nilikaa naye siku kumi na tano. 19Lakini sikumwona mtume mwingine yeyote isipokuwa Yakobo, ndugu yake Bwana. 20Nawahakikishia mbele za Mungu kuwa ninayowaandikia si uongo. 21Baadaye nilikwenda sehemu za Syria* na Kilikia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.