Wagalatia 1:17
Galatians 1:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wala sikupanda kwenda Yerusalemu kuwaona hao waliokuwa mitume kabla yangu, bali nilikwenda mara moja Arabuni na kisha nikarudi Dameski.
Galatians 1:17 in English
Galatians 1:17 · Berean Standard Bible
nor did I go up to Jerusalem to the apostles who came before me, but I went into Arabia and later returned to Damascus.
Context
15Lakini ilipompendeza Mungu, aliyenitenga tangu tumboni mwa mama yangu na kuniita kwa neema yake, 16alimdhihirisha Mwanawe kwangu, ili nipate kumhubiri miongoni mwa watu wa Mataifa. Mimi sikushauriana na mwanadamu yeyote, 17wala sikupanda kwenda Yerusalemu kuwaona hao waliokuwa mitume kabla yangu, bali nilikwenda mara moja Arabuni na kisha nikarudi Dameski. 18Kisha baada ya miaka mitatu nilipanda kwenda Yerusalemu kuonana na Kefa* na nilikaa naye siku kumi na tano. 19Lakini sikumwona mtume mwingine yeyote isipokuwa Yakobo, ndugu yake Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.