Native Bible

Galatians 1:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nao wakamtukuza Mungu kwa sababu yangu.

Galatians 1:24 in English

Galatians 1:24 · Berean Standard Bible

And they glorified God because of me.

Context

22Lakini mimi binafsi sikujulikana kwa makanisa ya huko Uyahudi yaliyo katika Kristo. 23Wao walisikia habari tu kwamba, “Mtu yule ambaye hapo kwanza alikuwa akitutesa sasa anahubiri imani ile ile aliyokuwa akijaribu kuiangamiza.” 24Nao wakamtukuza Mungu kwa sababu yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.