Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

mabakuli ishirini ya dhahabu ya thamani ya darkoni elfu moja,* na vyombo viwili vya shaba iliyosuguliwa, ya thamani kama dhahabu.

Ezra 8:27 in English

Ezra 8:27 · Berean Standard Bible

20 gold bowls valued at 1,000 darics,* and two articles of fine polished bronze, as precious as gold.

Context

25nami nikawapimia fedha, dhahabu na vifaa ambavyo mfalme, washauri wake, maafisa wake na Israeli wote waliokuwepo walikuwa wamevitoa sadaka kwa ajili ya nyumba ya Mungu wetu. 26Niliwapimia talanta 650* za fedha, vifaa vingine vya fedha vya uzito wa talanta mia moja,* talanta mia moja za dhahabu, 27mabakuli ishirini ya dhahabu ya thamani ya darkoni elfu moja,* na vyombo viwili vya shaba iliyosuguliwa, ya thamani kama dhahabu. 28Niliwaambia, “Ninyi pamoja na vyombo hivi ni wakfu kwa Bwana. Fedha na dhahabu ni sadaka ya hiari kwa Bwana, Mungu wa baba zenu. 29Vilindeni kwa uangalifu mpaka mtakapovipima ndani ya vyumba vya nyumba ya Bwana katika Yerusalemu mbele ya makuhani, viongozi na Walawi pamoja na wakuu wa jamaa za Israeli.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.