Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutoka wazao wa Harimu: Maaseya, Eliya, Shemaya, Yehieli na Uzia.

Ezra 10:21 in English

Ezra 10:21 · Berean Standard Bible

From the descendants of Harim: Maaseiah, Elijah, Shemaiah, Jehiel, and Uzziah.

Context

19(Wote walitoa nadhiri kwa kuandika kwa mikono yao kuwafukuza wake zao, kwa hatia yao, kila mmoja akatoa kondoo dume kutoka kundini mwake kama sadaka ya hatia.) 20Kutoka wazao wa Imeri: Hanani na Zebadia. 21Kutoka wazao wa Harimu: Maaseya, Eliya, Shemaya, Yehieli na Uzia. 22Kutoka wazao wa Pashuri: Elioenai, Maaseya, Ishmaeli, Nethaneli, Yozabadi na Elasa. 23Miongoni mwa Walawi: Yozabadi, Shimei, Kelaya (ndiye Kelita), Pethahia, Yuda na Eliezeri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.