Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Miongoni mwa Walawi: Yozabadi, Shimei, Kelaya (ndiye Kelita), Pethahia, Yuda na Eliezeri.

Ezra 10:23 in English

Ezra 10:23 · Berean Standard Bible

Among the Levites: Jozabad, Shimei, Kelaiah (that is, Kelita), Pethahiah, Judah, and Eliezer.

Context

21Kutoka wazao wa Harimu: Maaseya, Eliya, Shemaya, Yehieli na Uzia. 22Kutoka wazao wa Pashuri: Elioenai, Maaseya, Ishmaeli, Nethaneli, Yozabadi na Elasa. 23Miongoni mwa Walawi: Yozabadi, Shimei, Kelaya (ndiye Kelita), Pethahia, Yuda na Eliezeri. 24Kutoka waimbaji: Eliashibu. Kutoka mabawabu: Shalumu, Telemu na Uri. 25Miongoni mwa Waisraeli wengine: Kutoka wazao wa Paroshi: Ramia, Izia, Malkiya, Miyamini, Eleazari, Malkiya na Benaya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.