Ezra 10:20
Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kutoka wazao wa Imeri: Hanani na Zebadia.
Ezra 10:20 in English
Ezra 10:20 · Berean Standard Bible
From the descendants of Immer: Hanani and Zebadiah.
Context
18Miongoni mwa wazao wa makuhani, wafuatao walikuwa wameoa wanawake wa kigeni:
Kutoka wazao wa Yeshua mwana wa Yosadaki na ndugu zake: Maaseya, Eliezeri, Yaribu na Gedalia. 19(Wote walitoa nadhiri kwa kuandika kwa mikono yao kuwafukuza wake zao, kwa hatia yao, kila mmoja akatoa kondoo dume kutoka kundini mwake kama sadaka ya hatia.) 20Kutoka wazao wa Imeri:
Hanani na Zebadia. 21Kutoka wazao wa Harimu:
Maaseya, Eliya, Shemaya, Yehieli na Uzia. 22Kutoka wazao wa Pashuri:
Elioenai, Maaseya, Ishmaeli, Nethaneli, Yozabadi na Elasa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.