Native Bible

Ezekiel 27:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watapaza sauti zao na kulia sana kwa ajili yako; watajitupia mavumbi juu ya vichwa vyao na kujivingirisha kwenye majivu.

Ezekiel 27:30 in English

Ezekiel 27:30 · Berean Standard Bible

They will raise their voices for you and cry out bitterly. They will throw dust on their heads and roll in ashes.

Context

28Nchi za pwani zitatetemeka wakati mabaharia wako watakapopiga kelele. 29Wote wapigao makasia wataacha meli zao, mabaharia wote na wanamaji wote watasimama pwani. 30Watapaza sauti zao na kulia sana kwa ajili yako; watajitupia mavumbi juu ya vichwa vyao na kujivingirisha kwenye majivu. 31Watanyoa nywele zao kwa ajili yako, nao watavaa nguo za magunia. Watakulilia kwa uchungu wa moyo na kwa maombolezo makuu. 32Watakapokuwa wanalia na kuomboleza juu yako, watafanya maombolezo kukuhusu wakisema: “Ni nani aliyepata kuangamizwa kama Tiro, katika moyo wa bahari?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.