Native Bible

Ezekiel 27:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mwanadamu, fanya maombolezo kwa ajili ya Tiro.

Ezekiel 27:2 in English

Ezekiel 27:2 · Berean Standard Bible

“Now you, son of man, take up a lament for Tyre.

Context

1Neno la Bwana likanijia kusema: 2“Mwanadamu, fanya maombolezo kwa ajili ya Tiro. 3Umwambie Tiro, ulioko kwenye lango la bahari, ufanyao biashara na mataifa mengi ya pwani, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: “ ‘Ee Tiro, wewe umesema, “Mimi ni mkamilifu katika uzuri.” 4Mipaka yako ilikuwa katika moyo wa bahari, wajenzi wako walikamilisha uzuri wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.