Ezekieli 18:5
Ezekiel 18:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Mtu aweza kuwa ni mwenye haki atendaye yaliyo haki na sawa.
Ezekiel 18:5 in English
Ezekiel 18:5 · Berean Standard Bible
Now suppose a man is righteous and does what is just and right:
Context
3“Hakika kama niishivyo, asema Bwana Mwenyezi, hamtatumia tena mithali hii katika Israeli. 4Kwa kuwa kila roho ni mali yangu, kama vile ilivyo roho ya baba, vivyo hivyo roho ya mtoto ni mali yangu. Roho itendayo dhambi ndiyo itakayokufa. 5“Mtu aweza kuwa ni mwenye haki
atendaye yaliyo haki na sawa. 6Hakula katika mahali pa ibada za miungu
kwenye milima
wala hakuziinulia macho sanamu
za nyumba ya Israeli.
Hakumtia unajisi mke wa jirani yake,
wala hakukutana kimwili na mwanamke
wakati wa siku zake za hedhi. 7Hamwonei mtu yeyote,
bali hurudisha kilichowekwa rehani kwake.
Hanyangʼanyi, bali huwapa wenye njaa chakula chake
na huwapa nguo walio uchi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.