Kutoka 39:35
Exodus 39:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sanduku la Ushuhuda pamoja na mipiko yake na kiti cha rehema,
Exodus 39:35 in English
Exodus 39:35 · Berean Standard Bible
the ark of the Testimony * with its poles and the mercy seat;
Context
33Ndipo wakaleta maskani kwa Mose: hema pamoja na vifaa vyake vyote, vibanio vyake, mihimili yake, mataruma yake, nguzo na vitako vyake; 34kifuniko cha ngozi za kondoo dume kilichotiwa rangi nyekundu, kifuniko cha ngozi za pomboo,* pazia la kufunikia; 35Sanduku la Ushuhuda pamoja na mipiko yake na kiti cha rehema, 36meza pamoja na vyombo vyake vyote na mikate ya Wonyesho; 37kinara cha taa cha dhahabu safi, safu zake za taa pamoja na vifaa vyake vyote pamoja na mafuta kwa ajili ya taa;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.