Kutoka 39:36
Exodus 39:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
meza pamoja na vyombo vyake vyote na mikate ya Wonyesho;
Exodus 39:36 in English
Exodus 39:36 · Berean Standard Bible
the table with all its utensils and the Bread of the Presence;
Context
34kifuniko cha ngozi za kondoo dume kilichotiwa rangi nyekundu, kifuniko cha ngozi za pomboo,* pazia la kufunikia; 35Sanduku la Ushuhuda pamoja na mipiko yake na kiti cha rehema, 36meza pamoja na vyombo vyake vyote na mikate ya Wonyesho; 37kinara cha taa cha dhahabu safi, safu zake za taa pamoja na vifaa vyake vyote pamoja na mafuta kwa ajili ya taa; 38madhabahu ya dhahabu, mafuta ya upako, uvumba wenye harufu nzuri na pazia la ingilio la hema;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.