Kutoka 39:34
Exodus 39:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kifuniko cha ngozi za kondoo dume kilichotiwa rangi nyekundu, kifuniko cha ngozi za pomboo,* pazia la kufunikia;
Exodus 39:34 in English
Exodus 39:34 · Berean Standard Bible
the covering of ram skins dyed red, the covering of fine leather,* and the veil of the covering;
Context
32Kwa hiyo kazi yote ya maskani, Hema la Kukutania ikakamilika. Waisraeli wakafanya kila kitu sawasawa kama vile Bwana alivyomwagiza Mose. 33Ndipo wakaleta maskani kwa Mose: hema pamoja na vifaa vyake vyote, vibanio vyake, mihimili yake, mataruma yake, nguzo na vitako vyake; 34kifuniko cha ngozi za kondoo dume kilichotiwa rangi nyekundu, kifuniko cha ngozi za pomboo,* pazia la kufunikia; 35Sanduku la Ushuhuda pamoja na mipiko yake na kiti cha rehema, 36meza pamoja na vyombo vyake vyote na mikate ya Wonyesho;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.