Kutoka 39:37
Exodus 39:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kinara cha taa cha dhahabu safi, safu zake za taa pamoja na vifaa vyake vyote pamoja na mafuta kwa ajili ya taa;
Exodus 39:37 in English
Exodus 39:37 · Berean Standard Bible
the pure gold lampstand with its row of lamps and all its utensils, as well as the oil for the light;
Context
35Sanduku la Ushuhuda pamoja na mipiko yake na kiti cha rehema, 36meza pamoja na vyombo vyake vyote na mikate ya Wonyesho; 37kinara cha taa cha dhahabu safi, safu zake za taa pamoja na vifaa vyake vyote pamoja na mafuta kwa ajili ya taa; 38madhabahu ya dhahabu, mafuta ya upako, uvumba wenye harufu nzuri na pazia la ingilio la hema; 39madhabahu ya shaba, pamoja na wavu wa shaba, nguzo zake na vyombo vyake vyote, sinia, na tako lake;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.