Kutoka 31:9
Exodus 31:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na vyombo vyake vyote, sinia na kinara chake,
Exodus 31:9 in English
Exodus 31:9 · Berean Standard Bible
the altar of burnt offering with all its utensils, and the basin with its stand—
Context
7Hema la Kukutania, Sanduku la Ushuhuda pamoja na kiti cha rehema juu yake, pia na vifaa vyote vya kwenye hema, 8meza na vifaa vyake, kinara cha taa cha dhahabu safi na vifaa vyake vyote, madhabahu ya kufukizia uvumba, 9madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na vyombo vyake vyote, sinia na kinara chake, 10pamoja na mavazi matakatifu yaliyofumwa ya kuhani Aroni, na mavazi kwa ajili ya wanawe wakati wanahudumu katika kazi ya ukuhani, 11pia mafuta ya upako na uvumba wenye harufu nzuri kwa ajili ya Mahali Patakatifu. Watavitengeneza sawasawa kama vile nilivyokuagiza wewe.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.