Kutoka 31:11
Exodus 31:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
pia mafuta ya upako na uvumba wenye harufu nzuri kwa ajili ya Mahali Patakatifu. Watavitengeneza sawasawa kama vile nilivyokuagiza wewe.”
Exodus 31:11 in English
Exodus 31:11 · Berean Standard Bible
in addition to the anointing oil and fragrant incense for the Holy Place. They are to make them according to all that I have commanded you.”
Context
9madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na vyombo vyake vyote, sinia na kinara chake, 10pamoja na mavazi matakatifu yaliyofumwa ya kuhani Aroni, na mavazi kwa ajili ya wanawe wakati wanahudumu katika kazi ya ukuhani, 11pia mafuta ya upako na uvumba wenye harufu nzuri kwa ajili ya Mahali Patakatifu. Watavitengeneza sawasawa kama vile nilivyokuagiza wewe.” 12Kisha Bwana akamwambia Mose, 13“Waambie Waisraeli, ‘Ninyi ni lazima mzishike Sabato zangu. Hii itakuwa ni ishara kati yangu na ninyi kwa ajili ya vizazi vijavyo, ili mpate kujua kwamba Mimi Ndimi Bwana, niwafanyaye ninyi watakatifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.